Huduma za Uchunguzi na Maabara
Inatolewa na Aga Khan Hospital
Hospitali ina maabara kubwa ya kisasa inayotoa huduma za vipimo vya damu, mkojo, kinyesi, uchunguzi wa vinasaba (genetics), na vipimo vya magonjwa sugu kama saratani, HIV na homa ya ini. Pia kuna radiology department yenye vifaa vya CT scan, MRI, X-ray na ultrasound kwa ajili ya uchunguzi wa ndani wa mwili