Upangishaji waSehemu au maeneo ya Kufania Kazi (Worknasi Spaces)
Inatolewa na Work Nasi Hq
Worknasi ni jukwaa la kidijitali linalowezesha watu binafsi, makampuni au mashirika kutafuta, kukodisha, na kuendesha shughuli zao katika mazingira mbalimbali ya kazi. Kupitia Worknasi Spaces, watumiaji wanaweza: Kupangisha au kukodisha maeneo kama vile ofisi za pamoja (co-working spaces), ofisi binafsi zilizo na huduma kamili, vyumba vya mikutano, na maeneo ya shughuli kama warsha au matukio. Kuhifadhi nafasi (booking) kwa muda maalum au mahitaji ya muda mrefu. Kusimamia maeneo hayo kupitia mfumo wao wa mtandaoni.