Vyumba vya Malazi
Inatolewa na Tembo House Hotel and Apartments
Tembo House Hotel ina vyumba vya kulala vya aina mbalimbali standard, deluxe, na suites, vyenye mandhari ya bahari au bustani. Vyumba hivi vimepambwa kwa mbao, mapazia ya kitamaduni, na vina vifaa kama Wi-Fi, A/C, televisheni, friji, bafu la ndani, na huduma ya vyumba (room service).