Utulivu na Mazingira
Inatolewa na Kibo Palace Hotel
Hoteli hii imezungukwa na bustani ya kijani tulivu, mazingira safi na yenye mandhari nzuri. Kuna bwawa la kuogelea (swimming pool) kwa wageni kupumzika, pamoja na spa, sauna, na gym kwa afya ya mwili na akili. Mazingira haya yanachangia hali ya amani, faragha, na kustarehe.