Vyumba
Inatolewa na Kibo Palace Hotel
Kibo Palace Hotel inatoa vyumba vya kisasa vilivyopangiliwa kwa ladha ya kifahari na utulivu. Vyumba hivi vina vifaa vya kisasa kama televisheni ya flat screen, kiyoyozi (AC), bafu za kisasa, Wi-Fi ya kasi, na huduma ya chumba masaa 24. Kuna chaguo mbalimbali kama: Executive Room kwa wasafiri wa kawaida Deluxe Room & Suites kwa familia au wasafiri wa muda mrefu Presidential Suite kwa wageni wa hadhi ya juu wanaotaka huduma ya kipekee na nafasi ya kupumzika kwa kiwango cha juu.