Huduma za Usafirishaji wa Mizigo Kubwa (Freight Services)
Inatolewa na DHL Corrier Service Tanzania
DHL inatoa usafirishaji wa mizigo mikubwa kwa kutumia njia ya anga (air freight), bahari (ocean freight), reli, na barabara (road freight). Huduma hizi hutumika katika biashara za uzalishaji, viwanda na uagizaji/uzalishaji wa kimataifa.