Usafirishaji wa Kimataifa kwa Haraka (Express Delivery):
Inatolewa na DHL Corrier Service Tanzania
DHL Express hutoa huduma za haraka za kusafirisha nyaraka na mizigo ndogo kwenda mataifa mbalimbali, kwa muda uliowekwa. Huduma hii hutumika sana kwa biashara zinazotaka kusafirisha bidhaa kwa haraka au kwa watu binafsi wanaotuma nyaraka muhimu nje ya nchi.