Usambazaji wa Maji Safi

Inatolewa na Dawasa
Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star 0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Usambazaji wa Maji Safi

Inatolewa na Dawasa

DAWASA husambaza maji safi kwa matumizi ya nyumbani, taasisi, biashara, na viwanda. Maji haya husafirishwa kutoka vyanzo vya maji kama Ruvu Juu na Ruvu Chini na kusafishwa kabla ya kufikishwa kwa watumiaji kupitia mtandao wa mabomba.

Do you think there's a problem with this review?

You can use this reporting if you're a consumer

Want to report this review?

Please choose a reason

Birthday:

Login Info: