Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu Huduma Hii
TANESCO huzalisha umeme kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo maji (hydro power), gesi asilia, na mafuta. Umeme huu huzalishwa katika vituo mbalimbali kama Mtera, Kidatu, Kinyerezi na vinginevyo.
Tufuatilie hapa
Chagua Toleo la Kusoma: