Kumbi za Mikutano na Matukio ya Kibiashara:
Ramada Resort ina kumbi za za mikutabno na matukio ya kibishara ambapo watu au taasisi mbalimbali zinaweza kutumia kuendesha shughuli zao
Huduma ya Mgahawa
Hoteli ina mgahawa unaotoa vyakula vya kimataifa na vya kienyeji kwa kutumia viungo na mapishi mbalimbali
Malazi (Rooms)
Wageni hulala katika vyumba vilivyo na vitanda vikubwa na mabalkoni binafsi. Baadhi ya vyumba vina mwonekano wa bahari kutoka dirishani
Huduma ya Chakula na Vinywaji (Dining)
Mgahawa ndani ya hoteli hutayarisha aina mbalimbali za chakula, na kuna baa zinazopatikana kwa ajili ya huduma ya vinywaji.
Mapumziko ya Wanandoa (Honeymoon Stays)
Wanandoa wanaweza kupanga kukaa baada ya harusi kwa ajili ya mapumziko ya pamoja katika mazingira tulivu.
Ofa ya Likizo ya Kiangazi (Hello Summer)
Ramada hutangaza ofa maalum kwa wageni wanaokaa siku tatu au zaidi katikati ya wiki, ikiwa ni pamoja na kifungua kinywa kwa wawili.
Ofa ya Mapumziko ya Familia (Weekend Family Staycation Offer)
Familia zinaweza kupanga kukaa kwa wikendi, zikitumia nafasi hiyo kwa mapumziko na kushiriki shughuli mbalimbali katika mazingira ya hoteli.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoRamada Resort by Wyndham Dar Es Salaam
Ramada Resort by Wyndham Dar es Salaam ni hoteli ya kisasa iliyopo ufukweni mwa Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam, inayotoa huduma mbalimbali kwa wageni wa ndani na wa kimataifa. Hoteli hii inatoa mchanganyiko wa malazi ya kifahari, huduma za mikutano ya kibiashara, mapumziko ya kifamilia, pamoja na chakula cha aina tofauti
Tovuti
https://www.ramadaresortdar.com/meetings-weddings/weddings
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222162333