Vyakula vya kila siku
Uchumi wanauza bidhaa kama mchele, unga, sukari, maharage, tambi, na viungo mbalimbali vya kupikia kwa mahitaji mbalimbali ya kila siku
Matunda na Mboga
Wanauza matunda na mbogamboga za aina mbalimbali kwa ajiri ya mahitaji tofauti tofauti ya wateja.
Vinywaji
Vinywaji baridi kama soda, juisi na maji, pamoja na vinywaji vya moto kama chai na kahawa vinapatikana
Bidhaa za Usafi na Urembo
Uchumi pia wanauza sabuni za mwili, shampoos, dawa za meno, vipodozi, na mafuta ya mwili
ifaa vya Kielektroniki
Wanauza Vifaaa vya electronic (Umeme) vya aina tofauti tofauti kulingana na mahitaji mbalimbali ya wateja
Huduma kwa Mteja
Usaidizi wa moja kwa moja madukani kupitia wahudumu waliopo kwenye kila idara kusaidia mteja kupata bidhaa anazohitaji
Waranty
Urejeshaji wa bidhaa endapo bidhaa ina kasoro au haijaridhisha mteja, kulingana na masharti ya duka.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoUchumi Supermarket (T) Ltd
Uchumi Supermarket (T) Ltd ni maduka yaliyopo jijini Dar es Salaam yakiwa ni sehemu maarufu kabisa kwa uuzaji wa bidhaa za kila siku kwa wateja wa aina mbalimbali.
Tovuti
https://www.facebook.com/uchumisupermarkettz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222865804