Vyakula vya Kila Siku (Groceries)
Wanauza vyakula vya msingi kama mchele, unga, sukari, maharage, tambi zilizo katika vifungashiop maalum
Bidhaa za Baridi na Zilizogandishwa
Wanauza samaki, kuku, nyama, na vyakula vingine vilivyohifadhiwa kwa baridi.
Matunda na Mboga mboga
Wanauza matunda na mboga mboga zilizo katika ubora na ujazo tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mteja
Vinywaji
Wanauza vinywaji baridi kama soda, juisi, na maji, pamoja na vinywaji vya moto kama chai na kahawa.
Bidhaa za Usafi na Urembo
Wanauza sabuni za mwili, shampoos, dawa za meno, vipodozi, mafuta ya mwili, na vifaa vya usafi wa kibinafsi.
Malipo kwa Njia Mbalimbali:
Wanakubali malipo kwa pesa taslimu, kadi za benki, na malipo kwa simu.
Huduma kwa Wateja
Wafanyakazi wa A to Z Supermarket wanasaidia wateja kupata bidhaa wanazohitaji kwa urahisi na huduma bora kwa wateja wanaotembelea madukani mwao
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoA to Z's Supermarket
A to Z Supermarket ni duka kubwa la rejareja lilio Dar es Salaam, Tanzania, likijulikana kwa utoaji wa bidhaa mbalimbali zinazohitajika katika maisha ya kila siku
Tovuti
https://atozsupermarket.co.tz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 682919213