Startimes Decoder (King’amuzi)
Startimes Wanatoa DTT Decoder – kwa ajili ya antenna ya kawaida (digital). pamoja na DTH Decoder – kwa ajili ya dish ya satellite.
Smart Card
Kadi inayowezesha usajili na ufunguaji wa maudhui ndani ya decoder.
Startimes Dish
Hii ni Kwa watumiaji wa satellite (DTH) kupokea mawimbi kutoka angani.
Startimes ON App
Bidhaa ya digitali ya Startimes inayowezesha kuangalia chaneli kupitia simu janja.
Huduma ya Televisheni ya Kulipia
Startimes huwezesha wateja kutazama chaneli nyingi kwa kulipia vifurushi vya mwezi, kwa kutumia decoder yao.
Huduma ya Digitali (DTT) na Satellite (DTH)
Wanatoa Huduma kama DTT (Terrestrial) hutumia antenna ya kawaida (ya ndani au nje). pamoja na DTH (Satellite) hutumia dish kupokea mawimbi ya televisheni kutoka satellite.
Huduma ya Vifurushi vya Channel
Startimes inatoa vifurushi mbalimbali kulingana na uwezo wa mteja: Nyota Mambo Uhuru Classic Smart (vifurushi vya DTT na DTH vina majina yanayofanana lakini maudhui hutofautiana)
Huduma ya Startimes ON App
App inayoruhusu wateja kutazama chaneli moja kwa moja (Live TV) au kurudia vipindi kupitia simu janja.
Huduma ya Malipo kwa Njia Mbali Mbali
Wateja wanaweza kulipia vifurushi kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halopesa, benki, au kupitia mawakala wa Startimes.
Huduma kwa Wateja
Startimes hutoa msaada kupitia simu, WhatsApp, ofisi zao, au mitandao ya kijamii kwa matatizo ya kifurushi, malipo au king’amuzi.
Huduma ya Parental Control
Wazazi wanaweza kudhibiti maudhui ya chaneli zinazotazamwa na watoto wao.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoStartimes
Startimes Tanzania ni kampuni ya huduma ya televisheni ya kulipia kwa njia ya satellite na digital terrestrial (DTT), inayotoa vipindi vya burudani, elimu, dini, michezo na habari kupitia vifurushi vya gharama nafuu vinavyolenga familia nyingi za Kitanzania.
Tovuti
https://m.startimestv.com/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 758828234