Gsm Magodoro ya kawaida
GSM hutengenezwa kwa povu na hutumika kwa matumizi ya kila siku.
GSM Magodoro ya orthopedic
Magodoro haya yameundwa kusaidia miili yenye mahitaji ya kiafya, hasa mgongo.
GSM Magodoro ya watoto
GSM Magodoro ya watoto yenye ukubwa mdogo na uimara unaofaa watoto.
GSM Mito na foronya
GSM hutoa bidhaa za ziada kwa ajili ya kulalia kama vile mito na foronya
Mauzo ya Jumla na Rejareja
GSM wanatoa Mauzo ya jumla na rejareja kwa wateja binafsi na taasisi mbalimbali kwa makubaliano maalum
Ushauri Kwa Mteja
Ushauri kwa wateja kuhusu aina ya godoro linalofaa kulingana na mahitaji yao.
Ofa Maalum
Ofa maalum na huduma kwa wateja wanaonunua kwa wingi au wanaoanzisha biashara ya magodoro.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoGodoro GSM foam
GSM Godoro ni chapa ya magodoro inayomilikiwa na kampuni ya GSM Group nchini Tanzania. Magodoro haya yanapatikana katika aina na ukubwa mbalimbali, yakilenga matumizi ya nyumbani, taasisi, na biashara
Tovuti
https://www.gsmgroup.africa/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 745000000