QFL ULTRA – Inchi 12
Godoro lenye unene mkubwa wa inchi 12 ambalo hufaa kwa matumizi ya kulalia kwa familia na mtu mmoja mmoja
QFL Eurotop White
Godoro la kisasa lenye tabaka la ziada juu (Eurotop) ambalo hupatikana kwa ukubwa w saizi tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mteja
QFL Premier (PM) – Inchi 10
Ni Godoro bora kwa matumizi ya nyumbani au ofisi ya kulala.
QFL Orthopedic – Inchi 6 & 8
Godoro maalum kwa watu wenye matatizo ya mgongo. Hupatikana katika saizi mbalimbali kama vile inch 6 na inch 8
Usambazaji wa Bidhaa
Wanatoa huduma ya kusambaza magodoro na bidhaa nyingine kwa wateja binafsi na wa taasisi nchini nzima.
Ushauri wa Kitaalamu
Wanatoa ushauri kuhusu aina sahihi ya magodoro kulingana na mahitaji ya afya, uzito, na matumizi ya mteja
Oda Maalum
Wana uwezo wa kutengeneza magodoro kwa vipimo na maelezo maalum ya wateja (custom-made orders).
Huduma kwa Taasisi
Foam hushirikiana na shule, hospitali, mahoteli, na taasisi nyingine kwa kutoa magodoro ya bei maalum kwa wingi.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoQuality Foam Ltd (QFL)
QFL (Quality Foam Ltd) ni miongoni mwa wazalishaji wa magodoro wanaoaminika nchini Tanzania, wakijulikana kwa kutoa bidhaa bora za kulalia zenye viwango tofauti vya ubora kulingana na mahitaji ya wateja.
Tovuti
https://qfl.co.tz/magodoro/
Barua pepe
info@qfl-dodoma
Simu
+255 222152396