Chakula

Interchick Kuku Mfalme

0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Interchick Kuku Mfalme

Interchick Co. Ltd, inayojulikana kwa chapa ya “Kuku Mfalme”, ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 1988 inayojihusisha na uzalishaji wa vifaranga, chakula cha kuku, na usambazaji wa nyama ya kuku iliyo tayari kwa matumizi. Kampuni hii ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa kuku wa nyama (broilers) na kuku wa mayai nchini Tanzania.

Tovuti
https://interchick.co.tz/

Barua pepe
[email protected]

Simu
+255 718069063

Sign In