Sele Bonge Chipsi
Sele Bonge Chips ni mgahawa unaopatikana Kinondoni Kanisani, Dar es Salaam, Tanzania. Mgahawa huu hutoa huduma mbalimbali ikiwemo chakula na vinywaji kwa wateja waliopo maeneo tofauti. Ni mahali maarufu kwa wale wanaopenda vyakula aina ya Chipsi na Chomezo zake
Tovuti
https://www.instagram.com/selebonge
Barua pepe
youtube@selebonge
Simu
+255 715350053