Vipodozi na vifaa vya Makeup
Dolls Beauty Store huuza aina zote za vifaa vya kufanyia makeup, ikiwa ni pamoja na brashi, foundation, eyeshadow, concealers, na lipstick.
Bidhaa za kutunza ngozi na nywele
Wanatoa bidhaa mbalimbali za skincare na haircare kama mafuta ya nywele, dawa za kusafisha ngozi, scrubs, masks, na steaming oils
Huduma Kamili za Saluni kwa Wanawake
Dolls Beauty hutoa huduma zote muhimu za saluni kama: Kusuka mitindo yote ya nywele Kuosha, kuset na kuweka dawa Steaming ya nywele kwa afya na mng’ao Pedicure na Manicure za kitaalamu
Huduma za Makeup (Maharusi & Kawaida)
Wanatoa huduma ya makeup kwa maharusi, hafla maalum au matumizi ya kawaida.
Huduma za SPA
Hii ni pamoja na facials, massage, scrubbing na steam therapy zinazolenga kutuliza, kurejesha ngozi na kuongeza mng’ao wa asili wa mwili.
Mafunzo ya Urembo na Makeup
Dolls Beauty pia inatoa kozi za urembo na makeup kwa wanaotaka kujifunza kitaaluma, ikiwa ni fursa nzuri ya kujiajiri au kukuza taaluma
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoDolls Beauty Store and Saloon
Dolls Beauty Store & Spa ni kituo cha kisasa cha urembo kilicho Kinyerezi, Dar es Salaam, kinacholenga kutoa suluhisho kamili kwa mahitaji yote ya urembo — kuanzia ngozi, nywele, kucha hadi vipodozi.
Tovuti
https://www.dollsbeautystore.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 659148507