Roho Sports Academy
Roho Sports Academy ni taasisi ya michezo iliyoko Dar es Salaam inayolenga kukuza vipaji vya watoto na vijana, hasa katika soka (football), kupitia mafunzo ya kitaalamu yanayotolewa kwa mafunzo ya kila siku, wikendi, na misimu ya likizo. Pia wana mipango ya kupanua shughuli zao kwenye michezo mingine katika siku zijazo.
Tovuti
https://www.instagram.com/rohosportsacademytz/?hl=en
Barua pepe
NA
Simu
+255 789159304