Masaki Sports Park
Masaki Sports Park ni kituo cha michezo na burudani kilichopo Oyster Bay, Dar es Salaam. Ni sehemu inayoaminika na inashirikisha jamii mbalimbali kutekeleza mazoezi, mafunzo na burudani kwa familia na watoto
Tovuti
https://www.instagram.com/masaki_sports_park/?hl=en
Barua pepe
NA
Simu
+255 744733333