Easy Garden Tanzania Limited
Easygarden Tanzania ni kampuni ya sanaa inayojihusisha na shughuli za bustani, ufukizaji na usafi wa ofisi, wanapatikana Mwai Kibaki road Dar es salaam Tanzania, pia wanaweza kupatikana kwenye mtandao wa YouTube kama Easygarden Tanzania na Instagram @easygardentz.
Tovuti
https://www.easygardentz.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 735565602