Serengeti Smile
Serengeti Smile ni kampuni ya utalii iliyoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma bora na za kipekee kwa watalii wanaotembelea Tanzania. Ikiwa na makao yake makuu mkoani Arusha, kampuni hii inatoa safari zilizoandaliwa kwa uangalifu mkubwa, zikihusisha vivutio maarufu kama Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Ziwa Manyara, na Mlima Kilimanjaro. Inamilikiwa na kuendeshwa na wazawa wenye uzoefu katika sekta ya utalii.
Tovuti
www.serengetismile.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 742726153