Lion King Adventures
Lion King Adventures ni kampuni ya utalii iliyoanzishwa na kuendeshwa na familia nchini Tanzania, yenye makao makuu yake jijini Arusha. Kampuni hii ina uzoefu katika kupanga na kuendesha safari mbalimbali za watalii ndani ya Tanzania. Inafanya kazi na wageni kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaokuja kutembelea vivutio vya asili kama mbuga za wanyama, milima, na visiwa.
Tovuti
www.lionkingadventures.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 754371242