Vyakula na Vinywaji
Shoppers Supermarket wanauza bidhaa mbalimbali kwa matumizi ya kila siku, zikiwemo: Bidhaa kavu kama mchele, unga, sukari, maharage, tambi, na unga wa ngano. Bidhaa zilizogandishwa kama kuku, nyama, na samaki. Matunda na mboga mboga mbichi kwa ajili ya matumizi ya jikoni. Vinywaji baridi kama soda, juisi, na maji, pamoja na vinywaji vya moto kama chai na kahawa.
Bidhaa za Usafi na Urembo
Shoppers Supermarket wanauza: Bidhaa za usafi kama sabuni za mwili, sabuni za kufulia, shampoos, na dawa za meno. Bidhaa za urembo kama vipodozi, mafuta ya mwili, na vifaa vya usafi wa kibinafsi.
Bidhaa za Nyumbani
Shoppers Supermarket wanauza bidhaa mbalimbali zikiwemo: Vifaa vya usafi wa nyumbani kama tishu, wipes, sabuni za kufulia na kusafisha (detergents).
Bidhaa za Watoto
Wanauza Diapers, chakula cha watoto, vifaa vya shule kama madaftari, kalamu na begi.
Malipo kwa njia mbambali
Shoppers Supermarket inaruhusu malipo kwa njia tofauti ikiwemo pesa taslimu, malipo kwa kadi za benki, na pia kupitia simu kwa kutumia mifumo ya malipo ya kidijitali
Huduma kwa Wateja
Shoppers Supermarket hutoa huduma kwa wateja ikiwa ni pamoja na msaada wa moja kwa moja dukani, usaidizi wa kupata bidhaa wanazohitaji, na kupokea maoni au malalamiko ili kuboresha huduma zao
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoShoppers Plaza
Shoppers Supermarket ni moja ya maduka makubwa ya rejareja nchini Tanzania yanayojihusisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali za kila siku kwa wateja wa aina zote. Duka hili linahudumia watu binafsi, familia na wafanyabiashara kwa kuuza bidhaa katika kiwango cha rejareja.
Tovuti
https://www.shoppers.co.tz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 22270154