ITV Tanzania
ITV (Independent Television) ni kituo cha televisheni cha binafsi kilichoanzishwa mwaka 1994 chini ya kampuni ya IPP Media Group. Kilikuwa miongoni mwa vituo vya kwanza binafsi vya televisheni Tanzania, kikijipambanua kwa utoaji wa habari za kuaminika, vipindi vya kielimu na burudani kwa jamii ya Kitanzania.
Tovuti
https://www.itv.co.tz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222775915