Clouds Fm
Clouds FM ni kituo cha redio kinachorusha matangazo yake kwa lugha ya Kiswahili, kinamilikiwa na Clouds Media Group na kilianzishwa mwaka 1998 na makao makuu yapo Dar es Salaam. Kinapatikana katika zaidi ya mikoa 20 Tanzania na pia hupatikana kupitia mtandao ya kijamii kama Youtube.
Tovuti
https://cloudsmedia.co.tz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222781445