Chakaby Luxury
Chakaby Luxury Bus Service ni kampuni ya usafirishaji wa watu na bidhaa inayotoa huduma za usafiri wa barabara kwa kutumia mabasi ya kisasa. Kampuni hii inatoa safari kati ya miji mbalimbali nchini Tanzania, ikiwemo Dar es Salaam, Dodoma, Singida, Shinyanga, na Mwanza.
Tovuti
www.chakaby.co.tz
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 659224455