Afya

Selian Lutheran Hospital

1/5.0 - Imepata 0 Maoni
5 Nyota
4 Nyota
3 Nyota
2 Nyota
1 Nyota

Selian Lutheran Hospital

Selian Lutheran Hospital ni hospitali ya rufaa iliyopo mkoani Arusha, Tanzania. Hospitali hii inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) – Dayosisi ya Kaskazini Kati, na washirika wa maendeleo wa kimataifa. Lengo lake ni kutoa huduma za afya zenye ubora kwa jamii, hasa watu wa kipato cha chini, maeneo ya vijijini, na walioko pembezoni. Selian pia ni hospitali ya mafunzo kwa wahudumu wa afya

Tovuti
https://selianlh.or.tz/

Barua pepe
[email protected]

Simu
+255 767885690

Sign In